M Witson I'm Artist And Music Promoter

Anonymous
0



M
 WITSON I'M ARTIST , SONGWRITER, SINGER AND BROGGER
KWA YEYOTE ANAETAKA PROMO YA NYIMBO NITAFUTE KUPITIA HIZI DOCUMENTS :     

WEBSITE ; WWW.M-WITSON.BLOGSPOT.COM

            NAME ; MSAFIRI WITSON NKEMBO
            PHONE ; +255678622796
JE ! wewe ni msanii na ungependa kuwa maarufu kwa kutangaza kipaji chako katika mtandao 
      unaofikiwa na watu kote ulimwenguni ? Ujachelewa bado unaweza kutangaza nasi kupitia website yetu na mitandao yetu ya kijamii kwa kufuata mambo yafuatayo :-

     (a) Hakikisha una Audio au Video yenye kiwango kinachotakiwa { Quality}

     (b) Kwa Audio unatakiwa kuwa na photo cover yake pia yenye kiwango sahihi {Quality}

kama hauna cover tuta kusaidia kutengeneza
     Tuma link ya picha, audio au video yako kwa kuzingatia njia ifuatazo :
                          
 Bei yetu ya kutangaza nyimbo yako  kwa Audio ni Tsh   7000 na Video Tsh 10,000 

 NJIA YA MALIPO
+255678622796
                                         
          FAIDA ZA KUTANGAZA NASI

1. AUDIO au VIDEO  yako itaweza kuonekana katika baadhi ya blog au website nyingine nyingi.

2.Nyimbo yako itaweza kuonekana GOOGLE na hapo itaweza kupakuliwa kupitia website yetu.
3. Nyimbo yako itaweza kufikiwa na kusikilizwa na watu wengi kutoka maeneo mbalimbali ndani         na  nje ya nchi
4.Nyimbo yako itakuwa mtandaoni daima haitaweza kufutwa na yeyote yule.
5.Wewe kama msanii unaweza kutengeneza mashabiki wengi na watu wa kudhamini kazi zako.

KUWA MAARUFU KWA KUTANGAZA NASI KOTE NCHINI

        BY MSAFIRI WITSON NKEMBO

Tags

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)